Teh!teee! Umenikumbusha mbali.ukiuza bidhaa kwa kuitembeza huku unaitaja kwa sauti basi unaweza kuitwa jina la bidhaa yako.mf.kama ni mboga utaitwa mboga. Kama unauza utumbo utaitwa utumbo. Je anayeuza mwili wake ataitwaje? Mvua chupi ataitwa mvua chupi.