Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Messages
5,229
Points
2,000
Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2012
5,229 2,000
Ah!!! Hizi mida za harakati shemeji, kuna jamaa ana hela yangu ila kanipa dakika hivi nimsubirie sasa wacha basi nipozi hapa huyu jamaa hii hela ni siku nuingi mana nawe ndo umeshanibana sasa.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,995
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,995 2,000
"Aaah shemeji kwa vile ni wewe ngoja tu Leo nitie baraka...unajua sio vizuri kukataa chakula"..halafu muda huo unamuita mtoto wake unamuuliza.."uncle umekua wangapi safari hii"?
Kaka shikamoo!

Sababu huu ni zaidi ya kuvaa uhusuka
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,127
Posts 31,490,940
Top