Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 8,945
- 35,391
MwajeiMimi hata sizugi namwambia tu 'sasa mbona hukuniambia kama mnapika ningejua hata nisingeaga, haya nasubiria'
MwajeiMimi hata sizugi namwambia tu 'sasa mbona hukuniambia kama mnapika ningejua hata nisingeaga, haya nasubiria'
umeona eeh? Haturembagi kwenye msosi aseeMwajei
Mwenza akili zako zimenishinda
Ahh shemeji bwana unajua sana kunitia majaribuni,Ila acha leo nikupe ushindi wa jaribu hili kwa kuendelea kuwepo wepo.
KishaKwanza nauliza ki utani nini amepika sasa kama nyama ya kuku au samaki
Kaka shikamoo!"Aaah shemeji kwa vile ni wewe ngoja tu Leo nitie baraka...unajua sio vizuri kukataa chakula"..halafu muda huo unamuita mtoto wake unamuuliza.."uncle umekua wangapi safari hii"?
😂😂😂😂Kaka shikamoo!
Sababu huu ni zaidi ya kuvaa uhusuka
watu ni noumaaKaka shikamoo!
Sababu huu ni zaidi ya kuvaa uhusuka
Acha kabisa.watu ni noumaa
ngoja leo nicheki mapishi yako nitakupa majibuningejibu"nilitaka niwahi nikaangalie tamthilia ya SULTANI...ila ngoja tu niangalie hapahapa sikujua kama una kingamuzi cha azamu"View attachment 1124689
Siku ingine aisee.. leo kidogo nataka nikapumzike nyumbani mapema, huku nimembeba mtotoningejibu"nilitaka niwahi nikaangalie tamthilia ya SULTANI...ila ngoja tu niangalie hapahapa sikujua kama una kingamuzi cha azamu"View attachment 1124689
Rafiki hata mualiko wa plau eeeh 😒😒😒Acha kabisa.
Hahaha mara pap anakujibu nimepika kande!!Kwanza nauliza ki utani nini amepika sasa kama nyama ya kuku au samaki 😜😜😜😜😜