Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

"Haina shida shemeji, ngoja nisubirie. Kwenye mboga yangu usiweke pilipili na juisi isiwe ya baridi sana. Aaah shemela leo wacha nifaidi mavituz yako"

Muda huo nimeshakaa na kuchukua rimoti ya tv.
 
Back
Top Bottom