Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

Sasa ukute msosi wenyewe mindondo, sijui mimakande. Aah! Mwee!! Lazima niulize wapikani shemeji langu.
Km ni mpare, mchaga, mgogo siulizi hawajui kupika.

Kitu Tanga bwana, Mskuma utakula ugali huo na kuku mzima mpaka ulie poo!
 
"Aaah shemeji kwa vile ni wewe ngoja tu Leo nitie baraka...unajua sio vizuri kukataa chakula"..halafu muda huo unamuita mtoto wake unamuuliza.."uncle umekua wangapi safari hii"?
Dah we jamaa inaonyesha una experience ya muda mrefu ya udowezi 😀😀
 
Back
Top Bottom