Jiangalie mtoto wa kiume hii ni Dar

Jiangalie mtoto wa kiume hii ni Dar

"Umenikataa bila sababuu, umeninyanyasa bila aibu, nimepata mwingine tabibuu sasa wanifatafata nini, kama ni pendo langu nilikupaa lote-
Nilikuji kwa kila kitu naakupa mahaba yoote....."
 
Me kuna ex wangu kapanga majuzi kati kanambia Niende kwakee...!! Ilaa nkawazaa kama kuna kidume kinamhudumia afuu nkaenda kikanikutaa si balaa hiloo... Bora nikaushe aisee tamaa zilimponza fisi
 
Msaidie tu, hakua shida wala ubaya wowote...

Show him some love... Yaliyopita sii ndwele gangeni yajayao...

Kapata ujasiri wote huo kwa sababu umediriki kumuonesha kwako, imani yake inamwambia huna mtu...


Cc: mahondaw
 
Nilikupenda miaka zaid ya 10 iliyopita wakati huo nipo Olevel nawe upo Advance ulivyofika chuo ukaniona mtoto kwa kauli yako mwenyewe ukasema tuachane

leo baada ya muda mrefu kupita ukapata no yangu tukasalimiana na kubahatika kuonana japo haikuwa planed ilitokea tu wewe kuwepo eneo ambalo nipo

Tukapiga story nikakuonesha mpaka ninapokaa ukiwa kama mshkaji tu cause nilishasahau yalotokea, eti baada ya wiki jioni moja unanambia unanisubiri maeneo ya nyumbani kwangu kaka nimekuita? Nakwambia sipo maeneo ya nyumbani unanambia utanisubiri tu kaka nimekuomba? Nikakujibu hata nikirudi nitakuwa nimechoka mana mda huo ilikuwa inaenda sa tano usiku eti kwa confidence kabisa unanambia haina shida utalala kwangu mpka kesho yake mchana unikande...

Hivi, tumepotezana zaid ya miaka10 hujui niko vp kimahusiano kwa sasa kinachokuaminisha ni nini? pili umenikuta naishi mazingira ya kuridhisha yenye almost kila kitu muhimu ndani kaka unajua nani karahisisha hayo? Mtoto wa kiume unapata wapi nguvu ya kulala kwa msichana ambae si mpenz wako? Ukitatuliwa marinda utakuwa umeonewa?

Wakati uko chuo ulipanga nyumba hukurusu hata siku moja mimi kupajua kwako Mungu ambayo si mwanadamu uka disco na kwenda kusoma nje sasa toka urudi huna hata kazi na unaishi kwenu leo kiherehere cha kulala kwangu kinakujaje ndugu?
Sasa si umfwate ukamwambie
 
"Umenikataa bila sababuu, umeninyanyasa bila aibu, nimepata mwingine tabibuu sasa wanifatafata nini, kama ni pendo langu nilikupaa lote-
Nilikuji kwa kila kitu naakupa mahaba yoote....."
Wanaume hatuimbag taarab ww utakuwa na element za ushoga
 
ivi inakuwaje mwanaume unajikomba kwa mwanamke?, hata kama ni game of chance hapana kudhalilishana huko.
 
Ila sometimes inakera kumhudumia mwanamke kwa kila kitu halafu kijamaa kinakuja kinataka slope tu,eti na alale kabisa!!
Hahahahahaha mkuu....lakini kuna namna ya kuseti mwanamke wako ambae umehudumia kwa kila kitu asitishwe na hivyo vidume vyenye kutaka slope
 
Back
Top Bottom