Jiandae leo maana kesho haitabiriki...,

Jiandae leo maana kesho haitabiriki...,

Poultry Sayuni

Senior Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
125
Reaction score
36
BIG UP for JamiiForums [ Jukwaa la Ujasiriamali & Jukwaa la Ufugaji na Kilimo ] Be blessed

Wakuu, tunawasalimu !

Tunapenda kutumia fursa hii kuwakilisha kile tunachoamini ni ‘mpenyo’ kwa wengine katika UFUGAJI. Tumia vema weekend yako kujifunza mambo kadha wa kadha muhimu katika ufugaji, ukiitafakari kesho yako kiuchumi.

Tumelenga kuelimisha wengine, haswa kwa wale ambao bado hawajathubutu kuingia katika ufugaji kuku wa kienyeji (chotara). Hivyo basi, ujumbe huu ni muhimu sana kwako wewe mwenye MAONO (vision) katika ufugaji, kwa maana wengine wengi wameishia kwenye NDOTO (merely dreams), yaani maneno na mipango bila matendo, huku wakishindwa kuikabili hofu ya kesho.

‘SAYUNI POULTRY Gosheni’ hatuna cha kujivunia, hatuna cha kujisifia, hatuna cha kushindania, ila tunacho cha KUKUSHIRIKISHA. Tunaomba usome document hii (PDF attached), na ikikupendeza tutembelee mtandaoni [ Sayuni Poultry Gosheni ]

Usisite kumshirikisha na mwingine.
 

Attachments

Back
Top Bottom