Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
Safiiiiiiiii usipojisifia mwenyewe hakuna wa kukusifia
Hahaha ahsante
Mie huwa najisifia Mwenyewe bwana
I'm beautiful
Yes I'm beautiful
Sabab nmeumbwa kwa mfano wa Mungu
Hata wasiponambia mzur najikubali Mwenyewe kwan nini bwana