Jiajiri kwa njia zote upendazo

Jiajiri kwa njia zote upendazo

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,445
Reaction score
1,645
Habari za muda huu wapendwa napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote.

Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
 
hebu funguka tu kwa faida ya wote
 
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
biashara inahusu nini??
Je ni network marketing?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
biashara inahusu nini??
Je ni network marketing?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Ndugu mpendwa, mimi natoa mawazo ya biashara kwasasa bure kabisa kulingana na uhitaji wa mtu kutokana na uwezo wa mtaji wa kifikra na kifedha alio nao.
Baadae nafikiria kuanza kutoza fedha kwa huduma ya wazo, andiko la mradi na mtaji.
Ahsante, karibu sana.
 
Yale yale ya akina forever.....
Ndugu mpendwa, jitahidi kusoma na kuelewa andiko lililopo kwenye kichwa cha mada na mada husika. Utaelewa na utakuwa umejifunza zaidi.
RUTA means
R stands for Read
U stands for Understand
T stands for Think
A stands for Answer
Ahsante na karibu sana.
 
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!

Nina kiasi cha Tsh. 300,000/= kama mtaji unaweza kinishauri niwekeze kwenye biashara gani
 
Back
Top Bottom