Jiajiri kwa njia zote upendazo

Jiajiri kwa njia zote upendazo

Muulize mtaji unaotakiwa alafu unipe mrejesho
Kwa harakaharaka unaweza kukadiria mana naona hapa ana kama chupa kubwa nne na vikombe kama 30 kuna vya udongo na vya plastic na ndoo moja ya kubebea vikombe na nyingine ya kubebea vitafunwa mbalimbali kama mihogo, viazi, chapati n.k. Labda kinachobaki ni viungo vya huo uji.
 
Sijaona mtu akijibiwa. Where is mtoa mada?
 
Kwa harakaharaka unaweza kukadiria mana naona hapa ana kama chupa kubwa nne na vikombe kama 30 kuna vya udongo na vya plastic na ndoo moja ya kubebea vikombe na nyingine ya kubebea vitafunwa mbalimbali kama mihogo, viazi, chapati n.k. Labda kinachobaki ni viungo vya huo uji.
Sasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000
 
Sasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000
Haha dah mkuu jamaa hayuko serious kweli, sasa kama mtaji 2000 faida itakuwa shingapi? Labda aje atupe hio biashara
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ha ha ha ha ha ha ha ha kalala mbele maana kaona hapa ameanzisha moto wa nyasi kavu unawaka kwa hasira ameona asepe tu maana atakaribisha msala

SONY Xperia Z5 Premium
 
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
What do you know about crypto currency?? Je inaweza kuwa suluhisho la ajiria?
 
What do you know about crypto currency?? Je inaweza kuwa suluhisho la ajiria?
Habari, unajua biashara nzuri ina anza na wewe unauwezo gani na unataka nini?
Biashara ambazo mimi ninazo penda kushauri zaidi kutokana na mitaji ya watu ni biashara ndogo ndogo na biashara za kati, kwa mfano unaweza ukawa na mtaji wa Tsh.10,000/=, unanunua ngano yako, unanunua na viungo mbali mbali kama nazi, iriki na sukari alafu unapika maandazi yenye muonekano mzuri na unanunua pakiti nzuri kwa ajiri ya kuongeza samani bidhaa yako. Baada ya hapo unapeleka maeneo ya saiti za ujenzi, kwenye mikusanyiko ya watu, shule, maofisi n.k inategemea na eneo ulilopo au unasupply madukani bidhaa yako.
Nakushauri uza bidhaa yako kwa gharama ya chini maana wateja wazuri ni watu wenye kipato cha chini.
Huo ni mfano tu, ipo mingi sema kwa ajili ya muda na huduma kwa wateja.
Ahsante na karibu sana.
 
Sasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000
Kwa mtaji ulio nao, itategemea mahali ulipo na kuna uwezekano wa wewe kufaniki.
Kwa mfano, waweza anzisha biashara ya kusupply ungo au bidhaa yoyote ambayo utaiuza kwa gharama ndogo.
siri kubwa ya biashara unapaswa kutengeneza uhitaji wa bidhaa na si vinginevyo.
 
Mtu mwenye 2m Tshs, umamshauri afanye Biashara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu, karibu kwa huduma.
Kwanza kabisa nikushauri jambo moja, je unapenda biashara na je upo teyari kuwa mwajiri? Kama jibu ndio, basi karibu kwa ushauri.
Kwanza kwa mtaji wako anza na biashara ya nguo za kike mfano vibode, gauni za charanga, madera, sketi, viatu vya chini(simple) alafu tafuta usafiri wa kukodi kwa masaa au siku kwa mfano tax, alafu jaribu kwenda kwenye mikusanyiko ya watu na makutano ya watu haijarishi ni soko au stend au popote pale ila sharti pawepo na mkusanyiko wa watu then unasimamisha usafiri wako na kuanza kupiga mnada bidhaa zako ila jitahidi kutoa ofa ya bei ndogo kwa sababu bidhaa zenye uhitaji na zenye soko ni bidhaa zenye bei ya chini.
Bidhaa mahali zinapopatikana ni Isirii Kenya, Kariako Tanzania.
Mtaji nakushauri utumie Tsh. 500,000/= kama idea testing then you will pursue.
Karibu sana.
 
Kwa mtaji ulio nao, itategemea mahali ulipo na kuna uwezekano wa wewe kufaniki.
Kwa mfano, waweza anzisha biashara ya kusupply ungo au bidhaa yoyote ambayo utaiuza kwa gharama ndogo.
siri kubwa ya biashara unapaswa kutengeneza uhitaji wa bidhaa na si vinginevyo.
mkuu ebu nipe mchanganuo wa biashara ya nyungo kwa huo mtaji
 
Hebu ushuuda wa mafakio yako ili kama success story kwetu uweze kutu inspire kwa namna moja ama nyingine
Always successful story can not invite you to be there as story said, but what you want is a tool for you to achieve the boom.
Try to remember that experience is not about number of years or times passed on it deals with what you know through that time.
Your welcome.
 
network marketing wanambinu za kukamata wateja hatari.
Watu wote wenye nia njema hueleza kila kitu ili iwe faida ya wote.
wengi hutapeliwa wanapoitana pembeni
Mbona mimi ni muwazi na sio muumini wa hao ndugu unao wasema maana wao huwaalika watu kwa kuwatamanisha bali mimi natoa wazo wewe upambane mwenyewe.
 
Back
Top Bottom