Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

hansluvanga

Member
Apr 18, 2014
96
25
Tunakutengenezea blog nzuri kwa sh elfu 10 tu na tunakuunganisha na matangazo ya kukulipa kila mwisho wa mwezi. Unatakiwa kuwa na simu ya smartphone au kompyuta tu ili uanze kutengeneza pesa kwa kumiliki blog yako. Wasiliana nasi whatsapp au telegram kwa namba 0758217840 Sasa blog ni ajira Tosha
 
Je kama MTU ana blog tayari hizo ads anaweza kuzipataje
 
kama unataka kupata pesa nyingi kupitia blog hakikisha una template unayosuport kiswahli na iwe na matangazo betwen the paragraph post na husiweke kabisa animation au mambo ya bonyeza Hapa kulazimisha watu wabonyeze.

ukifanikiwa kupata template kama hiii basi umeula.

Dental Diseases and Heart Surgery specialist from Apollo Hospital in Tanzania Visit Tanzania - KISANA HEALTH
nina swali kidogo
nina adsense ndo mpya sema kwenye address nimejaza ya chuo sasa nimesikia kuna issue ya kutumiwa pin unapofikisha $100 ili kuverify account ili upokee mpunga sasa nauliza kama hiyo address haitasumbua maana ni ya public
na je naweza kubadilisha address huko mbeleni?
la mwisho je ipi njia nzuri na rahisi ya kupokea pesa za adsense ambayo haitakua na makato makubwa?
asante
 
Iko hivi.

Adsense wanatuma PIN unapofikisha dollar 10 tu siyo 100 na unachoweza kufanya ni kutafuta address ambayo itakuwa rahisi wewe kupata barua yenye PIN inakufikia ndani ya wiki 3 baada ya kufikisha dollar 10..zile 100 ni kiwango cha chini cha kukulipa.

unaweza kubadili addres any time
 
asante kwa kunielewesha ubarikiwe
ila njia nzuri ya kupokea payment badi hujaniambia
 
adsense raha jamani

22339457_237477680115491_8812733736391209197_o.jpg
 
Back
Top Bottom