Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

Naomba kuuliza, Hivi hao wenye matangazo, kweli wanaweza kutangaza ktk blog yako ambayo labda haizidi viewers hata 100 kwa mfano!?
japo mimi ni mgeni ila ninavyojua adsense wana vigezo vyao kuanzia watembeleaji mpaka idadi ya post zako na lugha unayotumia
ndio maana unatuma maombi kwanza wanapitia website yako wakijiridhisha ndo wanaweka matangazo yao
 
Kwa wewe labda ulipoanza, ulikua na viewers wangapi iliyopelekea kuwashawishi jamaa?
 
Wadau vipi kuhusu propeller maana mimi ninablog yangu adsense wamenitosa ila nimejiunga na hawa propeller mpaka sasa nina viewers 25,000 ni mwezi wa tatu huu tangu nifungue blog ila ndio kwanza balance ni $0.5
 
Back
Top Bottom