Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

Wadau vipi kuhusu propeller maana mimi ninablog yangu adsense wamenitosa ila nimejiunga na hawa propeller mpaka sasa nina viewers 25,000 ni mwezi wa tatu huu tangu nifungue blog ila ndio kwanza balance ni $0.5
viewers 25,000 kwa miezi mitatu bado sana mkuu komaa sana...
 
NAUZA BLOG NA ACCOUNT KABISA YA ADSENCE BEI POA

BLOG INAHUSU TEKNOLOGY NA INÀ MATANGAZO YA ADSENCE NA ISHAUNGWANISHA KABISA

technologicaltz.blogspot.com

NAKUUZIA
1)BLOG YENYE ADSENCE
2)ACCOUNT YA ADSENCE INA DOLLA KUMI MPK SASA
3)APPS YA BLOG

NUMBER
0654506515
 
Hii kuna MTU yeyote anaetumia matangazo ya seebait kwenye blog take
 
kama una host google for free hiyo ni blog tuu.. that why ukitaka ku-login/post unaingia blogger.com hata kama ina .com... tatizo lenu mkiona .com tuu mnadhani ni website...
Nieleweshhe sasa nkitaka kufungua blog kama hyo yenye .com naanzaje
 
Ukifungua blog tuu unakuwa na access ya kuweka Adsense kwenye blog yako ambayo utapata pesa kutokana na watu kubofya kwenye matangazo, pia unaweza kupata pesa nyingine ya kupitia Ads za kwenye app ambazo natengeneza. Nichek tufanye kazi 0759 68 88 59
Acha kuongopea watu. Google AdSense ina vgezo vyao ili uanze kuearn money it takes time for validation. Minimum huwa ni 3months na uwe na contents za maana. Wanasuggest zaid ziwe kqa English!

Ni kwel watatengeneza pesa but sio instant as you claimed above. Honest is the first chapter in the book of successful business!

Best of Lucky!
 
nina swali kidogo
nina adsense ndo mpya sema kwenye address nimejaza ya chuo sasa nimesikia kuna issue ya kutumiwa pin unapofikisha $100 ili kuverify account ili upokee mpunga sasa nauliza kama hiyo address haitasumbua maana ni ya public
na je naweza kubadilisha address huko mbeleni?
la mwisho je ipi njia nzuri na rahisi ya kupokea pesa za adsense ambayo haitakua na makato makubwa?
asante
Haisumbui mkuu yan easy tu ila muhimu usibadili adress
 
Back
Top Bottom