Jhpiego kiini macho cha ajira

JHPIENGO ndio zao nina rafiki yangu ana kaka ake yuko hapo alishasema wala tusihangaike

kuomba hapo nafasi zina watu wao..ye mwenyewe alishamuweka mdogo wake mwingine

kwenye mojawapo ya vitengo pale..... mdogo wake ilishindikana akamwambia hawezi kuweka

wawili sehem moja akamuunganishia kwingine
 
unanitisha heaven mpaka najiskia kuhairisha interview yao. nisije poteza muda na nauli yangu. ukizingatia natokea mkoani.
 
unanitisha heaven mpaka najiskia kuhairisha interview yao. nisije poteza muda na nauli yangu. ukizingatia natokea mkoani.

Dada wewe nenda na ukajitahidi huku ukimuamini Mungu. Kila sehemu watu wanasema watu wanawekana sasa sijui ni sehemu zipi hawawekani.
Uoga ndio umasikini wako
 
Ndo kusema ni wewe peke yako umeona hayo maeneo na kudhani wengine hawajayaona na hivyo wasiqualify kuitwa? Acha kuwatetea wanasema hapa si kwa mazoea ila ni kwa experience walizonazo kwa hiyo ofisi iweje waitaje hiyo kwenye topic ujue ina tatizo.
 
2009 hawa watu walinisahili kwa njia ya simu na kunipa kazi,wala sikuwa na mtu yeyote ninayemfahamu pale. nilipata kazi nyingine kwa hiyo sikwenda kwao. kwa hiyo naweza kusema wako fair. haya mambo ya kujuana au kupendeleana huwa yanajitokeza kwa sababu ya tabia za watu, ugumu upatikanaji wa wafanyakazi wazuri (ambaye anafahamika utendaji wake anapewa kipaumbele kuliko asiyefahamika) na unyeti wa nafasi yenyewe. tuishi kwa imani chanya kwani 'negative thinking' normally produces bad energy that make you weak na utashindwa kumshawishi muajiri kwamba wewe ni bora kuliko yule anaemfikiria. kwenye mazingira ambayo unahisi kuna kujuana au kutakuwa na upendeleo, amini kwenye 'dynamic nature of human beings that human being is unpredictable' therefore you may change his direction.
 
hiyo ilikua 2009 sa hivi mambo yamebadilika
 
Suala kujiajiri ni mchakato wa muda mrefu. Mimi mwenyewe nimejiajiari napata kidogo, naamini kijana akipata kazi ni rahisi kujiajiri. Tusiwabeze wanaotafuta kazi, Hapa ni africa sio America kwenye uwazi. Wabongo wenyewe wanawapa kazi wahindi badala ya waswahili wenzao, kisa wanapewa cha juu
 
Ndo kusema ni wewe peke yako umeona hayo maeneo na kudhani wengine hawajayaona na hivyo wasiqualify kuitwa? Acha kuwatetea wanasema hapa si kwa mazoea ila ni kwa experience walizonazo kwa hiyo ofisi iweje waitaje hiyo kwenye topic ujue ina tatizo.

where there is smoke there is fire...............

asisahau hilo huyo mdau uliemquote
 
Vijana acheni kulalama katika hii dunia ya utandawazi mwenye network kubwa ndiyo anafanikiwa.Jifunzeni kutengeneza network hata kwa kuomba kazi kwa kujitolea kwenye hizo organization.

sio kulalamika mkuu hta hizo za kujitolea hazipatikani bila refaa xo sio lawana bali ni hali halisii........!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukisema hvo unakosea kiongoz unaposema una vigezo una manisha nini,mbona kila mtu ana vigezo kiongozi,usipende lalamika kiongozi,pambana,hvo vigezo vyako inategemea una pambanishwa na nani
 
Ndo kusema ni wewe peke yako umeona hayo maeneo na kudhani wengine hawajayaona na hivyo wasiqualify kuitwa? Acha kuwatetea wanasema hapa si kwa mazoea ila ni kwa experience walizonazo kwa hiyo ofisi iweje waitaje hiyo kwenye topic ujue ina tatizo.

Daah hii topic ni ya zamani kidogo, nini kimekukuta mpaka ukaibuka tena na huu uzi? Najiweka pembeni, fungukeni kinachojiri huko
 
Bro nakubaliana sana na mchango wako.

Tatizo la wadau hapa hawataki kujitathmini na kukubali ukweli, Jhpiego ni reliable brand, competition ni kubwa, hata watu wanaowaajiri ni wenye vigezo kuendana na hiyo brand yao. Binafsi nilishaaply na nikatoswa, ila nilikuja kubali ukweli sababu katika professional life yangu nimefanya na NGO kama tatu, sijawahiitwa kwenye interview nikachemka, hivyo naamin if I met standards zao ningeitwa. Wadau ambao purely ni watoto wa wafuganyuki wameajiriwa huko Jhpiego/ Labda kuna jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…