Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
- Thread starter
-
- #21
Elimu ya Tz ni janga la kitaifa, vijana wanasoma ili waajiriwe.
Hii inaruhusiwa mkuu,,hakuna dhambi..kikubwa ni kutengeneza na wewe network ya kufahamika na watu strategic..hata mimi ningekuwa mwajiri ningeajiri wale walio recommended kwanza..its less risky, na unatengeneza watu wanaoku-'owe'..which is good for other business deals..tembelea ofisi za wahindi mjini..wote wameajiri ma-cousin,niece,nephew..etc..hakuna dhambi!!
Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!
Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!

Acha kubwabwaja, ni vyema watu wakawa creative kama mimi na ku-find alternative ways of making a better life si kungoja kuajiriwa kila siku. Unamkuta kijana 5 yrs anaswaga soli kutafuta kazi. Bil gate alikacha masomo university akiwa mwaka wa pili baadaye akawa tajiri wa dunia. Halafu una jazba nadhani una frustration za kuajiriwa na upo ofisini unapigika mida hii.utakuta we mwenyewe umeajiriwa. Nashangaaga sana una kuta mtu ameajiriwa alafu anawaambia wenzaje jiajiri, kama ni rahis hivyo kwa nin we usijiajiri, unaendelea kuwa kibaraka cha mwajiri. Fursa zipo sawa, lakin je miundo mbinu ina sapoti?
alafu wewe tofautisha makampun ya kifamilia na mashirika ya umma. Ngo ni mashirika sawa ya umma kwan hela zao zimetolewa na wafadhil kwa ajil ya wananch wa tanzania
Wapi inaruhusiwa hii? Kwa sababu umenufaika na mfumo huu usiuhalalishe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hata kuvolunteer ishu, lazima awepo mtu ndani wa kukukingia kifua mwanzo mwisho
Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!
Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!
Siku ikijulikana kuwa waafrika wote tuna mawazo kama haya, africa haitaendelea kamwe...you guys need to build your confidence..the only thing that stands between someone and winning is their desire to succeed..ONLY..acheni uoga

sasa wewe kweli na akili zako tuki base kwenye network za undugu na kulipana fadhila , je hao wenye vigezo kakn hawana ndugu. Pia kama ni hiuyo kwa nini watangaze
Watu kama nyie mnahitajika sana kuhakikisha vijana wengi wanabadili mtazamo, ukiwaza kukingiwa kifua huwezi fika, kama mtu una qualification na experience za kutosha ajira zipo ila zitachelewa tu kidogo na huwezi pata kazi bila kujaribu kutuma application mara kwa mara. Na lazima ieleweke kwamba kwenye mashirika mengi ya kimataifa kuna sera ya ku-promote staff waliopo hivyo unakuta kuna post zingine ni za managerial na unakuta wakati tangazo linatoka kuna ambao wana apply kutoka nje na kuna wanaoapply kutoka ndani labda post anayoomba ni ya juu kuliko ile aliyonayo hivyo kwa mtaji huu yule alie ndani ya organisation iwe ni volunteer au staff ana nafasi ya kupata kwa kuwa tayari anaijua organisation lakini pia kama ni kilaza akashindwa interview atapewa mtu wa nje.
Nina support watu wawe wanajitolea na kama huna ajira kabisa si mbaya kama ukachukua post ya chini ambayo haina competition ili uweze kusoma mazingira maana ndani ya mashirika huwa kuna vinafasi vingi ambavyo hupewa existing staffs na wakati mwingine kuna issue ya kumuiba staff kutoka shirika lingine si unajua huwa wanakutana kwenye makongamano (huwezi kufika peponi bila kufa)
John Snow Inc Je?
Embu tafadhali waambie hawa vijana...waafrika tumezidi kupenda downhill slopes..tunadhani kwa sababu una masters ya kutoka UD basi employers wote watakukimbilia wewe wakupigie magoti..no way!!..nimewahi kusikia stori ya mtu aliyeenda kuomba kazi ya ulinzi kwa kutumia cheti cha form IV..wakati ana masters ndani,just to get familiarity na watu wa ofisi..baada ya muda kwanini wasimwite ndani???
Ha ha...ndugu yangu,,,NGO sio shirika la umma,,umeshasikia watu wanalipwa kwa kutumia TGS D huko?..principally, hata wewe unaweza kuanzisha NGO yako na ukapata hela za wafadhili...hii haiifanyi kuwa sehemu ya serikali, au ya kiserikali..tena you can even call it family business sababu ilikuwa ni idea yako na juhudi zako...
we kweli mbulula, Ngo zilianza kuanzishwa pale wafadhili walipoona misaada inayopitia katika serikal za kiafrika zinaishia kwenye ubadhilifu. So Ngo ni hela za wananch zilizotelewa kufadhili miradi ya wananchi, ndo maana zinafanyiwa auditing na ripoti kupelekwa wa wafadhili na ndo maana pia zimesamehewa kodi. Kwa hiyo ujue hata kama ni idea yako ni kwa ajili ya public na hela zanazotolewa na wafadhil intetion sio kusaidia familia yenu kama unavyodai, ni kwa ajil ya ku run community project
Acheni kulalamika vijana angalieni sifa
Acha kubwabwaja, ni vyema watu wakawa creative kama mimi na ku-find alternative ways of making a better life si kungoja kuajiriwa kila siku. Unamkuta kijana 5 yrs anaswaga soli kutafuta kazi. Bil gate alikacha masomo university akiwa mwaka wa pili baadaye akawa tajiri wa dunia. Halafu una jazba nadhani una frustration za kuajiriwa na upo ofisini unapigika mida hii.