Jfteam nawapa pongezi kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jfteam nawapa pongezi kubwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUMBAKALA, Jan 29, 2011.

 1. L

  LUMBAKALA Senior Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Maxence Mello na team yako nawapeni pongezi kwa kazi nzuri ya kuboresha JF.Mmefanya mageuzi mazuri na kuongeza uwanja mpana wa jarida ili sisi wadau wa mtandao tujinafasi kwa raha zetu.Pia nawapongezeni kwa wale wanaoingiza ishu za dini, naomba waelewesheni japo ndani ya mtandao huu unaruhusiwa kuandika kila kitu sasa hizi za udini tutakuwa "less thinkers and not greater thinkers" big up sana ndani ya nyumba
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Do keep up doing the good job!!:clap2:
   
Loading...