Ndio dawa yao hao.
Hapa hatoki mtu mpaka kieleweke.
Nakemea pepo chafu la utapeli wa mapenzi, naviamuru viungo dume viwe ndembendembe ili tukio lisitukie.
Maana soon tutasikia kwenye MMU mkilia 'mpenzi wangu wa JF ameniacha baada ya kunjunji mara moja tu, sijui sijamridhisha, naombeni msaada wenu'
here i am kama kibirinzi nlivyokuja fasta
jino kwa jino..
Ha ha ha ha nimefurah umekuja fasta...unataka nikubebe...potabo wangu
nibebe my hubby nimemiss
We fund
Hakuna anaeitwa fund...
Hakuna anaeitwa fund...
Ntakubeba ths nite
my nashindanishwa umiss hata kuja nipigia kura nkaambulia
Ah nilijisahau...
Niambie kibanda kiko wapi na mimi niwe naleta buti za baba yangu polisi!
Dini hairuhusu vizuri ni vyangu peke yangu.
Sasa we Mentor mpaka utoke milembe uje Dar? Nipo mwnge karibu na posta natazamana na dodoma hoteli.
Mh mbona hizo directions nshapotea tayari!??
ndo wapi hapo...ebu come again...
Shemeji yangu Mrs Ruta atakuelekeza ila uje na Mkeo