zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
-
- #41
nakuona unavyojiramba
ndo nafungua kijiwe usafir wa tabu
Ina maana ulikuwa na night shift shem?
Naomba ung'arishe viatu vyangu!
Mbona hela yangu huleti au nimwambie shemeji
Arabela asubuh ananiganda nimkimbize ndo nitoke...
Usiniambie shem!!
Ina mana kakudhulumu mshiko?,
atan'tambua...!!!
Afadhali akugande mpaka umsindikize,maana hamkawii kuingiza kidemu alfajiri.
Kapitisha mindula yake,hela akanambia bdae tokea jana akaunt yake inasoma bidae...
Mi na arabela ni kama mizizi na Ardh,soksi na kiatu,samaki na maji...macho na nyusi...uji na mfungo...
Nimefungua kijiwe jamani cha....
>kung'arisha viatu.
>kushona viatu.
>kushöna Ndara,
>kushona viatu vya kike na kiume,
>Natoa ushauri jinsi ya kununua kiatu kizuri cha mkeo.
>Pia napima viuno vya wamama,hips,paja kwa Tsh 500.
Karibuni sana......punguzo kwa wanajf..
Lakini nyie ni damdam,
msamehe bure, Mungu atakuzidishia.
...Ahaaa,
Wanaume mna maneno matamu nyie!!!
Ila mkibadilika..!!
Tunatafuta pa kujificha.
Mi na arabela ni kama mizizi na Ardh,soksi na kiatu,samaki na maji...macho na nyusi...uji na mfungo...
Toka kwa sebule uje chumbn fasta
Mi na arabela ni kama mizizi na Ardh,soksi na kiatu,samaki na maji...macho na nyusi...uji na mfungo...
Afadhali akugande mpaka umsindikize,maana hamkawii kuingiza kidemu alfajiri.
namganda kama kupe simpi nafasi hata ya kukonyeza mwingine