zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mzungu wa 4
Mi nimelala kipompwiso style
wesere juu
Nimelala Huku nakesha,
Naawaza maisha yalivyovaa Bukta,
Pesa hakuna,Kazi hakuna,Tunauza sura vijiweni tu.
Mzungu wa 4
morning wangu! usiwaze sana we tulia mimi nitafute pesa nilete, we relax usije ukapata mikunjo kwenye uso! relax wangu!
Unajua nini Hubby wangu me nilalapo huwa naota ndoto za kutisha,
Hivyo yanipasa nikeshe nikiwaza.
Unataka ni-relax bila kufanya kazi ili mwisho wa siku useme umeoa mke Golikipa!!!!!!,
Akhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!, Nache niwaze mieeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
wangu ndio hichi kinacho nifanya nikupende zaidi yan una akili nyingi yan unapo andika mtu anaweza akafikiri ni akili za watu wawili kumbe mmoja tu! safi sana bab wangu!