systematic abdelkader
New Member
- Sep 14, 2018
- 2
- 0
Toka niingie jamii forums hakuna ata mtu alokuja PM kunsalimia.... Haya basi njooni japo munitukane



Toka niingie jamii forums hakuna ata mtu alokuja PM kunsalimia.... Haya basi njooni japo munitukane![]()
![]()
![]()
HaahhaahWatakuja mkuu vuta subra.
Sory nje ya mada hizi emoji mbona kwenye cm yangu sizioni tangu nime i update zimefichwa kusiko julikana



mimi mwenyewe emoj zipo za ajabu ajabu
Watakuja mkuu vuta subra.
Sory nje ya mada hizi emoji mbona kwenye cm yangu sizioni tangu nime i update zimefichwa kusiko julikana
Mtuonee huruma
mimi mwenyewe emoj zipo za ajabu ajabu
Bora wewe zipo za ajabu ndugu yangu mimi hata option ya kuziona haipo kabisa
Pole i see
Ka nakuona unavyokosa raha ya ku commentNdo hivo mkubwa roho inauma sana kunabsehemu inahitaji emoj lakini ndo hivo hazipo naumia sana
Ka nakuona unavyokosa raha ya ku comment
Yaani kama hapa ilitakiwa nikujibu kwa emoj lakini imebidi ni type .


lakini wao wanadai wanaume hatutakiwi kitumia emojlakini wao wanadai wanaume hatutakiwi kitumia emoj
KabisaSio kweli ingekuwa hivyo kungekuwa na cm za wanaume na wanawake
Fanya uvamizi mkuu..sio lazima ukasubiri mtu aku pm.jiongeze