JF UDAKU September Edition......

kweli wewe una matatizo ya akili si bure namna hii
kumsemani kaka yangu hivi wakati haumwi chochote?

5. Erickb52 hali mbaya, aonekana Muhimbili kitengo cha "Psychiatry" mkewe Chocs alonga, adai walienda kwa vipimo vya kawaida tu. Wachunguzi wa mambo wadadisi, UENYEKITI chit chat watajwa.

nimepaste:
 
Mwl Baba V akamatwa na kituo feki cha mitihani, adaiwa kuwa na mafeki ya mitihan ya form II na form IV inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Mkewe amkana alipofikishwa kituo cha Staki shari na kumganda Bujibuji
 
Last edited by a moderator:

Lile dili nilisakiziwa kutokana na juhudi zangu katika kupiga vita rushwa na madawa ya kulevya SIRIKALINI..
 
Last edited by a moderator:

Mbona tupo wakaguzi wasaidizi!!!?

cc; Asprin
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mwenyekiti, Mhariri wa Gazeti. Nahisi kama umepewa HONGO kama si RUSHWA.

Ina maana ile SKENDO ya LiverpoolFC na kaundime imetupiwa kapuni????.
Mzee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…