Jf Udaku Jumapili hii...

Tunaendelea.....

Mpango wa Filipo kwa Arabela wahujumiwa mbaya, ni baada ya marejesho na Mamzalendo kusafiri kisirisiri hadi tanga wikend hii, wafanya kikao cha siri babu Dark City. Arushaone nae alizwa bila kujua, babu DC alonga, asema ni katika kuhakikisha maadili katika ndoa za watu..
 
Last edited by a moderator:

He he he he mmejuaje jamani mbona ilikuwa siri yangu mimi tu na marejesho yaani kweli waliosema ukitaka kuongea siri ongea nje na si ndani sasa tungepangia nje si anga tu na ardhi vingesikia
 

Gazeti tamu sana hili.
Toleo lijalo silikosi !!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…