Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,725
- 2,411
Habarini wakuu,
Kungekuwa sub-jukwaa ya Tech, Gadgets and science inayohusika na mambo ya practice ya developer, programming and AI.
Maana kwa sasa imekuwa shida kweli kupata & kuweka madini... yaaani mtu akikwama, akiingia humo atapata madini kama vile stackflow, GitLab nk.
Napenda watanzania tufike mbali ktk masuala ya tech.
Hili jukwaa la sasa libaki kama lilivyo kwaajiri ya watu
1. Kulinganisha simu
2. Hardware issue
3. Nk.
Mbona kuna jukwaa la JF doctor??
Programming nayo ikumbukwe... tusiichanganye na thread ntingine.
Nawasilisha mada.
Max Mele & Mods mtupe mrejesho wakuu.