JF Tumempata Deo Kisandu mpya

Status
Not open for further replies.
Red black ona watu wenye matumaini na rais

#roberts tuvusheeee......nakubal Dr am 4 real PhD
 
Sasa hata kama hamna nchi ya afrika hiyo siyo sababu ya kutuzuia tusifanye

Fahamu Morocco na Algerian miji yao sehemu kubwa ina paving
Sawa pavement itachangia asilimia ngapi ubora WA maisha ya watanzania ikiwa leo Tu hatuna madawa hospital na pembejei za kilimo za uhakika ?
 
Sawa pavement itachangia asilimia ngapi ubora WA maisha ya watanzania ikiwa leo Tu hatuna madawa hospital na pembejei za kilimo za uhakika ?
Nina nyuzi karibia 50 paving ni moja kati ya hizo karibia 50

Nikuulize swali kwa hiyo wazungu na watu wengine hawana akili kwa kupiga miji yao paving

Unajua lami ni sehemu ya paving hili kweli unalijua
 
Nina nyuzi karibia 50 paving ni moja kati ya hizo karibia 50

Nikuulize swali kwa hiyo wazungu na watu wengine hawana akili kwa kupiga miji yao paving

Unajua lami ni sehemu ya paving hili kweli unalijua
SASA Fanya hivi Nenda kapangilie vizuri nyuzi Zako then uje utuambie pavement NI stage ya ngapi .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…