The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,804
- 123,881
Safi sana Mkuu Nyani NgabuUkijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Id zingine zinaitwaje?, hahahahahaaaUkijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Ni kweli kavumilia mengi maana humu jf kuna watu wanamatusi utafikiri wamevuta bhange wanaweza kukuharibia siku yakowatu wanavyojua kushushua sasa,kweli kavumila mengi
Mkuu upo? Nikasubiri kitabu weee
Haya mkuu ntakukumbushanikumbushe
uzee huu nasahau vitu vingi
huyo jamaa thread zake za udalali huwa nacheka sana anavowajibu watu."Acheni zenu,hii Brand kubwa,Jelebi nyie,kama hamna cha kuchangia nendeni mkalale.
Mkipanic njoo tukutane Police Post,Central Police
Nyie ni wachangiaji au Pasua tu?Kazi kuongea nyuma ya pazia tu.Hembu jitokezeni tuone sura zenu pasuwa wakubwa
Story kapigeni na sisimizi"
Hiki kiumbe nacho kitafutiewe Category wakuu
Category ya mipasho ...fix ..mikwara & kejeli..haka kahindi ni shida !!"Acheni zenu,hii Brand kubwa,Jelebi nyie,kama hamna cha kuchangia nendeni mkalale.