JF top five!

Mikono juu, mikono juu, juu juu juu

Kama ndege mtini, tunapendana

Sare sare kama shuleni, tunaendana

Hatupelekani kama jeshini, tunapatana

Mama oooh, mama oooh

Mama oooh, mama oooh
Duu kuna vipaji vimelala huku
 
Hivi kumbe wengine huwa hawafuti?Mimi nilishafuta zaidi ya 1,000!
Duuuuh!!!!
 
Mikono juu, mikono juu, juu juu juu

Kama ndege mtini, tunapendana

Sare sare kama shuleni, tunaendana

Hatupelekani kama jeshini, tunapatana

Mama oooh, mama oooh

Mama oooh, mama oooh
Koh koh koh koh koh

Koh koh koh koh koh koh.......

Hahahahahahahaa jamani asikwambie mtu....
Kofta haitibu wala tangawizi na asali haiponyeshi kikohozi hicho

mahalat bin mahabat yupiiiiiiiiiiii.................... hapana chezea kulishwa nyama ya ulimi.................... mapishi yake sasa
siku ingine mchemsho wa ulimi kama ulivyo chuku chuku
siku nyingine ulimi unachemshwa kisha una rostiwa
siku nyingine ulimi ukishachemshwa unachomwa au unabanikwa
siku nyingine ulimi unalowewa kwenye viungo kwa masaa mawili kisha unawekwa kwenye karatasi ya bati (foil) kisha unawekwa kwenye kiokeo (oven) ladha yake au utamu ninaoupata hapo siuelezeimaana ntauza mechi bureeeeeeee huku nikijiona.

Pumpkin pie, honey pie, sweet potato, sugar plum, honey bun mimi kuupenda wewe imekuwa aahh ..............
yamekuwa yamoto yamoto mapenzi.........
mapenzi ya kitoto ya kitoto matamu.....

Hapo ndo nimeamini nzi kufa kwenye kidonda sio U . F . A . L . A . ila kupenda

Kaise ana maneno meeengiiii namalizia hiviii..........

sare sare maua,
anayejua kuchagua,
kabila lake msukuma,
kesho kutwa (Cape Town) tunakwenda kuchukua........

Kasie.
 
EBANAEE NAWAPA HONGERA, ILA TUSIWE TUNA POST TU MATUSI, KEJELI NA PUMBA, TUPOST VITU POINT
KWA KUA HII NI GREAT THINKERS FORUM, NOT JUST A FORUM
MKUU UNAWEZA UKATO RANK AMBAYO IPO BASED KWENYE TROPHY POINTS?
 
ni mwaka gani mwona ff siku hizi simuonagi humu wakwetu mshana umechakachua
Hiyo ni general trending ya kila mtu...angalia kwa mfano BAK yuko offline tangu mwaka jana lakini bado yuko juu
 
Hiyo ni general trending ya kila mtu...angalia kwa mfano BAK yuko offline tangu mwaka jana lakini bado yuko juu
DUH KIMEMPATA NINI, HUYU MDAU HADI ACTIVITY YAKE IKASHUKA DRASTICALLY HIVYO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…