ktk gadgets wapo wengi ila chief-mkwawa nadhani anaongoza.
Sijui kwa nini mpaka leo hajaukwaa u-County director wa Nokia Mobile! :A S 39:
You are banned for choosing Mod :banplease:mimi ni huyu @c6
Hapa ndio tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?
Siwalaumu Mods kwa kuwa hili ni tatizo la waandishi wenyewe ambao ndio sis member wenyewe.
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?
nadhan isiwe ilimrad kucomment tu bali factor ziwe mtu anayeelimisha na kutoa msaada wa kimawazo kuhusu haya mambo na kama factor ni hizo mbili nadhan kuna wawili wanakubalika sana
1. chief mkwawa - ushauri na ujuzi kuhusu haya mambo
2. Njunwa mavoko - mwezeshaji wa kufungua njia za kupata huduma nafuu na kasi ingawa yuko kinyume na sheria!!
You are banned for choosing Mod :banplease:
Mimi nawataja ninao wakubali na si mmoja tu na aliye addicted kama muanzisha mada alivyosemma
nimewagawanya katika makundi
People who made/make me knowledgeble
C6 mambo yetu yako hewani( by Shaffin Simbamwene) nimeyajulia kwa huyu mjamaa
chief-mkwawa Jamaa namkubali sana swala za Android naye kanifundisha ma-proxy Paje Pioneer wwetu wa basi la GURU kanifundisha mengi japo ana-dodge jukwaa iku hizi
People I appreaciate their works
Mwl.RCT nafaidi software zake sana na Links za justseed.it
Nyasiro napenda sana software zake ambazo huwa anatushirikisha e.g Plate number generator etc
Stefano Mtangoo Napenda sana mchango wake wa Hossana Higher Tech mpaka kaaanzisha company ya kuwafundisha vijana IT at a fair price
wickerman nilipenda software yake ya ku-hack zile 150MB za TunnelGuru na kuwa unlimited yaani anaitumia Progamming ku-solve shinda ndogo ndogo
kama chief-mkwawa atapata vote mia ntamuombea kwa mkuu robot apewe japo hata upremium membership kwa mchango wake mkubwa uliotukuka katika jukwaa au mnasemaje wadau
au kama inawezekana mpendekeze majina kadhaa tuweke poll yapigiwe kura mshindi apewe zawadi...
kwa ajili ya kusema asante kwa mchango wake