Hii nadhani itafaa sana wakuu,
hebu tumwangalie ni member gan amekuwa addicted, ktk Jukwaa hili,
.
Note : Usijipigie kula mwenyewe,
-usipige kula mara mbili,
-Usimpigie kula ambaye alionekana mara chache kutoa michango'
-fanya u mention tu itatosha na pia usiende offtopic,
-me kwa7bu mgeni naanza na
.Mod
@C6
.
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?

Hapa ndio tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?kuna vitu kama trending topics ikiwepo uwa watu wanakuwa weeengi hata wiki based on only one topic.
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?
Virtual Private Network has gone with them..... We are crying for it once again. Hebu fanyeni mpango basi irudi jamani.