JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,190
1,612
Hii nadhani itafaa sana wakuu,
hebu tumwangalie ni member gan amekuwa addicted, ktk Jukwaa hili,
.
Note : Usijipigie kula mwenyewe,
-usipige kula mara mbili,
-Usimpigie kula ambaye alionekana mara chache kutoa michango'
-fanya u mention tu itatosha na pia usiende offtopic,
-me kwa7bu mgeni naanza na
.Mod
@C6

usimuweke mod... mod ni kazi yake kuwepo muda wote ... obvious yeye ndio addicted kuliko wote...

kura yangu nampa rafiki yangu wa siku nyingi chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?
 
mie sijanotice ila kuna mambo meengi yanachangia kupanda na kushuka kwa online users...
kuna vitu kama trending topics ikiwepo uwa watu wanakuwa weeengi hata wiki based on only one topic.

msimu. sasa hivi ni holiday season watu wengi watumiaji wa social networks hasa jf unakuta wako maofisini muda wa chai anakuwa anabrowse... sasa hivi wengi wanarudi vijijini au hata kama mijini ila wanakuwa in holiday mode.

sometimes technical issues.... na sababu zingine kedekede
 
njunwa wamavoko, tusimuhukumu kwa kuwa pdproxy imekufa(not so sure yet) lakini mchango wake umeonekana sana katika jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
kuna vitu kama trending topics ikiwepo uwa watu wanakuwa weeengi hata wiki based on only one topic.
Hapa ndio tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?

Siwalaumu Mods kwa kuwa hili ni tatizo la waandishi wenyewe ambao ndio sis member wenyewe.
 
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?

Virtual Private Network has gone with them..... We are crying for it once again. Hebu fanyeni mpango basi irudi jamani.
 
ktk gadgets wapo wengi ila chief-mkwawa nadhani anaongoza.
Sijui kwa nini mpaka leo hajaukwaa u-County director wa Nokia Mobile! :A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Haya mod @C6
nimekusoma,
.
Naona chief-mkwawa
mpaka kufikia sasa anaongoza,
.
Haya Tuendelee jaman ....
Mpaka tumpate the TGS ADDICTED MEMBER 2013
.
 
Last edited by a moderator:
Virtual Private Network has gone with them..... We are crying for it once again. Hebu fanyeni mpango basi irudi jamani.

Good observation yaani nimeshtuka kuwa users wa hii kitu wako around 10,000
There is no UNITY among the pioneers vinginevyo hata week isingepita tunge-come up na soln
 
njunwa wamavoko,
.
Nakuona kwa mala nyingne kaka,
iyo ki2 achana nayo tu kaka,
.
Pale juu nimesema hk ki2
.
-fanya u mention tu
itatosha na pia usiende
offtopic,

.
Tupo pamoja kaka
.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom