Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.
Asante for your quick post. Jamani, next time came all those in Tanga
Hongereni sana Mwanyasi na JF TANGA in general! Binafsi nawatakia mafanikio mema ili hatimaye muwe kama sisi wanaJF Arusha. Kumbuka sisi tuna mpaka bank a/c ila yote hayo yatategemea uhamasishaji wa viongozi na mwamko binafsi wa member moja moja.
Babu mzee CHUAKACHARA shkamoo! Tudokeze basi viongozi wenu wapya kwani kijana wako hajaweka hiyo list. CC Dark City KOKUTONA Arabela et al
Dah.... So sad.... Wapi JF Lake Zone mbona aibu?????
Copy to: Chimbuvu, C6 , beibe nasty, Evelyn Salt, Elizabeth Dominic, ThinkPad na member wote wa JF ndani ya Lake Zone......
Soon tutaandaa mtoko shaka ondoa bibie!!!!!
Poa bidada... ila watu wa Lake Zone wanaogopana sana...
Btw weekend waimalizia wapi????
Jana mchana (19/01/2013) Wana JF tuliopo Tanga tulikutana na kujadili mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchagua uongozi.
Nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru wote waliohudhuria kikao hicho. Kikosi kipo kamili sana lakini tunawakumbusha wale wote waliopo Tanga na wangependa kuwa pamoja nasi kuwasilina na mimi au Dark City; tunawakaribisha sana. PakaJimmy Preta, Filipo, Arushaone, marejesho, Lily Flower, watu8 Smile..... tumeanza kazi tuliyoahidi kuifanya.
Asante for your quick post. Jamani, next time came all those in Tanga
Sijui wana ninin hadi kuogopana hivo he he he
au tuhamie kambi ya tanga nini mi na wewe?
rock beach napunga upepo......karibu!
Wahamie Tanga