Mstari mwekundu katika box la dawa unamaanisha dawa hiyo isitumiwe wala isiuzwe bila maelekezo maalumu ya daktari, sababu kuna uwezekano mkubwa wa kupata madhara kwa kutumia dawa hizo bila maelekezo ya daktari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.