JF Server downtime

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Kumradhi kwenu nyote ambao mlijaribu ku-connect JF mkajikuta inakuwa ngumu.

Aidha, nawashukuru wawili walionitumia sms saa 5 (mida ya Tanzania) kunifahamisha juu ya jambo hili ambapo ilibidi tuchukue hatua za haraka kuwasiliana na Administrators wa JF kutafuta ufumbuzi.

Firewall ya JF imekuwa kali sana kiasi kuna IP address kadhaa inawezekana ziko blocked endapo zilikuwa zina-connect mara nyingi kwa kutumia Proxy Server. Yeyote aliyekumbana na dhahma hii atufahamishe ili tuweze kui-white list IP address yake.

Kumradhi kwa yaliyotokea na tunashukuru kwa ushirikiano.

Maxence
(Nimeruhusiwa na Administrators niwakilishe ujumbe huu)
 
You must be kidding.
You can post as I can see MwakyJ. Those affected cannot access JF as I know.
Any errors?
No mkuu,sitanii.Tangu alfajiri(EAT) nilikuwa najaribu kulogin ila nikawa napata error msg kuwa server is not available.Ni muda mfupi tu uliopita(saa 8 kasoro) ndo nimeweza kulogin successfully.Au sie ambao after sometime tumeweza kuaccess then IP zetu hazina tatizo?
 
mi mwenyewe yamenikuta at noon (EAT). Hapa nimeingia kupitia link ya web nyingine,
kuna post wamesema ipo huku nilivyoclick nikajikuta ndani
 
No mkuu,sitanii.Tangu alfajiri(EAT) nilikuwa najaribu kulogin ila nikawa napata error msg kuwa server is not available.Ni muda mfupi tu uliopita(saa 8 kasoro) ndo nimeweza kulogin successfully.Au sie ambao after sometime tumeweza kuaccess then IP zetu hazina tatizo?
Hilo tatizo limewakumba wote. Mbaya mimi sikuwa najua, ni FairPlayer alonishtua kuwa JF iko down. Ni tatizo la kawaida ambalo linatokana na settings za Firewall ya JF. Tatizo hilo limetatuliwa ila wasiwasi wetu ni kuwa kuna ambao wanaweza kukumbana na matatizo. Ukiona unaweza kusoma JF elewa upande wako hakuna matatizo kabisa.

Karibu MwakyJ
 
Kwa sasa mambo mazuri ila awali nilichokipata mwanzo ni hiki:

ERROR
The requested URL could not be retrieved

While trying to retrieve the URL: https://www.jamiiforums.com/

The following error was encountered:

* Read Error

The system returned:

(104) Connection reset by peer

An error condition occurred while reading data from the network. Please retry your request.

Your cache administrator is root.
Generated Fri, 23 Jan 2009 09:38:08 GMT by haraka (squid/2.5.STABLE14)
 
was in the same boat
 
Kuanzia muda wa saa 2 asubuhi had saa 6 mchana za Bongo nimejaribu sana kuingia kwenye JF bila mafanikio. Kwa sasa naipata vizuri ila nilishaanza kuwa na wasi wasi kwamba limetokea jambo gani? Niliogopa wasijepigwa stop kama DARUSO!!
 
Mkubwa Dark City hii ilikuwa tokea jana mida ya Usiku wa saa 9 hivi JF haikuwepo/ilikataa kufunguka kabisa. Ila Namshukuru Mungu sasa moyo wangu umepoa
 
Kuna thread ametuma Maxence Melo 'JF Server downtime' ameelezea tatizo lilikuwa ni nini na kuomba radhi kwa tatizo hilo.

Ipitie DC.
 
Mkuu, unanishangaza! Sasa umewezaje kupost hii?????

- Mkuu Mpitanjia vipi tena kaka, yaani huwezi fikiria kua ninatumia mtandao usiokuwa wangu? Duh! umenishitusha sana mkuu! Ni kwamba kwa siku kama mbili sasa nimeshidnwa kuingia kutoka kwenye Computer yangu ya nyumbani, hapo juu nilikuwa ninadandia mtandao wa watu, lakini sasa niko tena kwenye bomba la nyumbani, vipi bado au?
 
Duh, yaani wala sikuwaza kuwa unadandia. Uliposema kuwa unashindwa kuingia nikadhani ni kwa mashine zopte, kumbe ya kudandia ilikuweka hewani. Asante kwa ufafanuzi na sasa naamni kuwa upo hewani full nondo na mambo yakekaa muruwa kabisa, sikuwa na nia mbaya, ni ukosefu wa uelewa kwa uopande wangu tu Mkuu, tuendelee
 
Dah, mimi nilidhani nimepewa Server Ban walahi..!

Hata hivyo naona bado kwa upande wangu napata shida ku-post ..inachukua muda sana kuload post baada ya ku-click iende..

Nahani bado hali haijatengemaa 100%..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom