Jf saccoss, jf saccoss!

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
1,263
Wapendwa wana JF,

Asalaam Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.

Napenda kuwakumbusha wale ambao bado hawajaandikisha majina yao kwangu kwa ajili ya JF SACCOS wafanye hivyo sasa. Nitumie jina lako, namba yako ya simu na email address.

Lets join hands together!

Nawatakia siku njema.

CD
 
watanzania lazima tujenge spirit ya kujikomboa wenyewe sasakatika kila nyanja...... tukisubiri serikali na watawala itakula kwetu
 
nawaonea huruma sana wenye mawazo mfu kama hayo mkuu...ukitegemea serikali utaishia kuwa frustrated tu.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mkukuta, mkurabita,mabilioni ya JK , kilimo kwanza vyote hivi vipo wapi na vinamnufaisha nani ?

hakuna nchi hapa
 
Wapendwa wana JF,Asalaam Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.Napenda kuwakumbusha wale ambao bado hawajaandikisha majina yao kwangu kwa ajili ya JF SACCOS wafanye hivyo sasa. Nitumie jina lako, namba yako ya simu na email address.Lets join hands together! Nawatakia siku njema.CD
So ina maana hiyo ndo namba yako tukitaka kukutumia details zetu tutumie namba hiyo ya landline hapo juu? Me sina option ya pm nahisi nilifungiwa
 
jf saccoss...? imeanza lini?...nia na madhumuni ya kuianzisha ni ipi/yepi? waanzilishi ni nani? nani anastahili/stahiki kujiunga na saccoss hiyo? je imeshasajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili wa makampuni na vikundi vya kujamii?...naweza kupata nakala ya kuanzishwa kwake "memorandum of understanding etc".... nadhani nimeuliza kama GREAT THINKER naomba nieleweshwe kabla sijachukua hatua za ziada kujiunga na saccoss hii
 
Kuna uzi mmoja unazungumzia hili suala vizuri,utafute,soma mwanzo mpaka ulipofikia uzi huo,unaweza kupata picha.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Hi caroline, nafikiri hii info ungeiweka na kule kwenye thread yake ya awali.
 
So ina maana hiyo ndo namba yako tukitaka kukutumia details zetu tutumie namba hiyo ya landline hapo juu? Me sina option ya pm nahisi nilifungiwa

Tuma kwenye namba 0655 447788. Nitakuregister haraka sana na majibu on the dot. all the time niko on. Karibu sana
 
jf saccoss...? imeanza lini?...nia na madhumuni ya kuianzisha ni ipi/yepi? waanzilishi ni nani? nani anastahili/stahiki kujiunga na saccoss hiyo? je imeshasajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili wa makampuni na vikundi vya kujamii?...naweza kupata nakala ya kuanzishwa kwake "memorandum of understanding etc".... nadhani nimeuliza kama GREAT THINKER naomba nieleweshwe kabla sijachukua hatua za ziada kujiunga na saccoss hii

Asante sana kwa maswali yako yenye lengo la kujenga JF Saccoss imara. Tuma email address yako, namba yako ya simu na jina lako halisi si hili JF. hapo ndiyo utaanza kupata kila hatua tuliyofikia.

Asante sana, karibu sana. CD
 
Steve D, nashukuru sana kwa like zako. NItafurahi sana kama tuakuwa member wa hii. Kizuri zaidi, its unlimited. Kama uko nje ya nchi/mikoani bado utaweza kuona kila mchango wako unavyokwenda, vikao utashiriki kama uko DSM, ni habati iliiyoje? Una swali anytime niko on air kwenye simu yangu. Sifungamani na upande wowote jamani, piga simu anytime unayofeel unahitaji kujua kitu chochote kuhusu SACCOSS.

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom