Kitu ambacho CCM hawakukijua.
Raia wengi wana mafunzo ya kijeshi.
Achilia mbali wale waliokwenda kwa mujibu, ila wapo wale ambao walipita jeshi ila hawakupata ajira.
Hujashangaa kwa nini wakati majengo yanachomwa moto lakini moto hausambai kwenye mazingira jirani???