JF Receptionist of the year.....!!

Taja zawadi tuithaminishe ili tuanze kampeni...

kama ni katavi nitamtaftia mchumba.
Erick nitampa zawadi yake amy.
Chatu dume nitampa chana bateta.
Wengineo watasema wanataka nini.
 
kama ni katavi nitamtaftia mchumba.
Erick nitampa zawadi yake amy.
Chatu dume nitampa chana bateta.
Wengineo watasema wanataka nini.
Ngoja niingie ulingoni kama zawadi ndio hiyo, sijitoi kwenye kinyang'anyiro...
 
Katavi na Chatudume wamedumu sana kny lile jukwaa hata Sweetlady anajaribu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…