JF raha kwelikweli siiachi ng'o

JF raha kwelikweli siiachi ng'o

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
jamani jf ni raha nadhani sina mda mrefu nimejoini ila raha niliyonayo haielezeki, avitar zinanifurahisha sana, signatures, comments yaani raha tupu mda mwingine hata mke wangu ninamsahau ninapokuwa humu ndani natamani nisitoke jamani
 
...hadi unamsahau mkeo?? Yako kali.

Ila JF its a wonderful place yaani...exchanging ideas n views with lots of people u dont even know...its a great deal kwa kweli. Hata mimi sina muda mrefu tangu ni-join na ninataman ningekuwa nime-join siku nyingi...
 
Endelea na jf wakukazie mkeo?. Jaribu kutenga muda.
 
jamani jf ni raha nadhani sina mda mrefu nimejoini ila raha niliyonayo haielezeki, avitar zinanifurahisha sana, signatures, comments yaani raha tupu mda mwingine hata mke wangu ninamsahau ninapokuwa humu ndani natamani nisitoke jamani

Lakini bora kuliko kwenda kufanya mambo ya ajabu bora ukae zako JF .
 
Lakini bora kuliko kwenda kufanya mambo ya ajabu bora ukae zako JF .

Soraya nakujua, unaishi nchi inayoanza na N kwenye buildings zenye jina linaaanza na K, samahan kama utakwazika ila nimewiwa kutoa hli tonge
 
Soraya nakujua, unaishi nchi inayoanza na N kwenye buildings zenye jina linaaanza na K, samahan kama utakwazika ila nimewiwa kutoa hli tonge

Ha ha umepata wapi hiyo idea,mi naishi nchi inayoanzia na T,Tanzania na sikai kwenye buildings zinazo anzia na K.
Au unafanya practical ya course uliochukuaga kwa shekh Yahya ha ha!
 
Ha ha umepata wapi hiyo idea,mi naishi nchi inayoanzia na T,Tanzania na sikai kwenye buildings zinazo anzia na K.
Au unafanya practical ya course uliochukuaga kwa shekh Yahya ha ha!

Mhh yani mji unaoishi unaanza na O, tena ni mji mkuu wa hyo nchi.........mie mke wa shekhe yahaya, ameniachia mikoba
 
yaani mimi hapa raha tupu soraya na mrembo by nature
 
Endelea na jf wakukazie mkeo?. Jaribu kutenga muda.

MAZEE ! Kiubinadamu hii ulipashwa uipitishe kwenye adaptor yaani uizimue kwanza! Mf. Simu ya mkononi inapokea umeme wa volt 3.7 pale kwenye wall-socket unakua ni 240 volt, unapochomeka churger ndiyo adaptor itakayokuzimulia ama kuupunguza hadi 3.7
sasa hapa ni kama umem'supply membar kwa 240 vlt wakati demand ni 3.7 unfair!
 
Dogo namie niseme karibu! Hapa dogo ukiingia hutoki, kuna waliokuja bila ndevu zimewaotea hapa! Na waliokuja chuchu zimesimama na zimewalalia hapa.
 
VIVA JF. VIVA JF. VIVA JF. Ukiingia hutoki tena. Labda ufe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom