Jf raha jamani...!

Shem huyu sie Bishanga halisi ! Halisi Mnyaa'azimungu alimind zaidi !

uuuwiiii...... usitake nilie kwa loud speaker, hakya nani nitaandamana hadi mawinguni ili sir God amrudishe Bishanga aisee maana nimemtafuta kwa gharama kubwa shahidi shemeji yangu chama maana ndiye aliyemtoa nchi jirani.
 
Last edited by a moderator:

Kama hukuwahi kulia wakati tukio likiwa fresh , basi lia leo !
Afu @Widow wetu The secretary umenionea wapi ?
 
Last edited by a moderator:
uuuwiiii...... usitake nilie kwa loud speaker, hakya nani nitaandamana hadi mawinguni ili sir God amrudishe Bishanga aisee maana nimemtafuta kwa gharama kubwa shahidi shemeji yangu chama maana ndiye aliyemtoa nchi jirani.
Lady doctor
usikate tamaa Bishanga yupo hapo mjini kapata siku hizi mabega yamempanda juu nasikia anataka kugombea ubunge 2015!
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor
usikate tamaa Bishanga yupo hapo mjini kapata siku hizi mabega yamempanda juu nasikia anataka kugombea ubunge 2015!

Afu na wewe chama kapo yako na Quinne Mamndenyi si ni ya mkataba tu !
(ushahidi ninao)
Sasa mkataba wako unaendea kuisha !
Si uachie tu contituecy before actually period upate heshma kama Madiba ?
 
Last edited by a moderator:
Afu na wewe chama kapo yako na Quinne Mamndenyi si ni ya mkataba tu !
(ushahidi ninao)
Sasa mkataba wako unaendea kuisha !
Si uachie tu contituecy before actually period upate heshma kama Madiba ?

Mkataba wa Chama na Mamndenyi upo ndani ya mioyo yetu; Judgement umegeuka babu? Iweje leo unataka kuvunja nyumba za watu?
 
Last edited by a moderator:
Source...!!
 
Raha sana humu kuna watu humu wamo kutufurahisha wengine kwa kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…