Afu we data wewe!!!
Sjui kwanini uko makini sana kumtambua mtu kama ni mke or me. lol!
...
Juzi kati nimeona post yako moja ukisema!
"kipindi hicho sijatambua desh ni ke or me, kumbe desh ni MSUGUA GAGA tu!"
teh teh teh! Mbona mi nilimsoma, kuwa ni ke, sema alinichanganya mbeleni nikajua ni me! Aah wapi! Nikamteming nikahakikisha ni ke! Ingawa mwenyewe anadhani sijamsouma! Teh teh teh!