JF Premier Member!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
JF Premier Member
premium.png

Naona mnang'ara mpaka mnatufanya sisi wengine tuonekane kama siwakuzingatiwa kwenye hiki chombo, maana naona mnazidi kushine basi kama tupo katika grade tofauti basi, wale wawezeshaji wakubwa wawe na bandiko linalosomeka hivi JF Gold memmber!.
Namalizia kwakusema hongereni.
 
Asante sana,, we are the one who make a brighter day, so let's start giving...
 
Acha kunywa siku mbili, acha safari yako moja kwa kutumia private yako changia JF na wewe ung'are.

MoDs hongereni sana kwa kuweka utofauti wa wazi wazi kwa members ili watu wajue nini kifanyike ili nao wang'are.
 
Hapo inabidi na grade ziwepo ili tuendelee kutofautishwa. Upremier member pekee hautoshi!!

Premium Member:Silver ::::Amount between 10000~50000

Premium Member:
Gold:::
Amount btn 60000-100000

Premium Member::platnum::::
Amount110000 hadi 150000

Super Premium member:: Kuanzia 200000 onward

Nawasilisha
 
Halafu kuna wengine tangu wamechangia walipojiunga mpaka sasa hawajachangia tena nao wanaendelea kuwa Premium?
 
Premium Member:Silver ::::Amount between 10000~50000

Premium Member:
Gold:::
Amount btn 60000-100000

Premium Member::platnum::::
Amount110000 hadi 150000

Super Premium member:: Kuanzia 200000 onward

Nawasilisha

Invisible atakuwa kakusoma...!
 
Last edited by a moderator:
Hapo inabidi na grade ziwepo ili tuendelee kutofautishwa. Upremier member pekee hautoshi!!

Muda si mrefu itakuja category ya 'tanzanite member',itabidi utoe pesa ndefu kupata hii status,mi najiandaa kujilipia huo u memba na la'aziz wangu nannnhii nitamlipia pia.
 
Muda si mrefu itakuja category ya 'tanzanite member',itabidi utoe pesa ndefu kupata hii status,mi najiandaa kujilipia huo u memba na la'aziz wangu nannnhii nitamlipia pia.

Next week mkuu nakutafuta tuanze na wewe..
 
Premium Member:Silver ::::Amount between 10000~50000

Premium Member:Gold:::Amount btn 60000-100000

Premium Member::platnum::::Amount110000 hadi 150000

Super Premium member:: Kuanzia 200000 onward

Nawasilisha

Kwani huo u-premier unauzwa?!:confused3:
 
Back
Top Bottom