Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Sep 21, 2012 #41 Madame B said: Usitufanye watoto wadogo hapa, usikute ni shemeji yako au umefikia kwake toka kijijini kwenu. Usipomsifia yeye,msifie Madame B sawa? Click to expand... Duh? Nimekuwa mdananda tena, mie niko mjini tangu 93 maisha yalipomshinda mama Nelspruit, Mpumalanga, akahamia Dar kwa mumewe.
Madame B said: Usitufanye watoto wadogo hapa, usikute ni shemeji yako au umefikia kwake toka kijijini kwenu. Usipomsifia yeye,msifie Madame B sawa? Click to expand... Duh? Nimekuwa mdananda tena, mie niko mjini tangu 93 maisha yalipomshinda mama Nelspruit, Mpumalanga, akahamia Dar kwa mumewe.
Duzente Siqwente JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 265 Reaction score 60 Sep 21, 2012 #42 Zimenikutanisaha na wa2 wengi sana ambao zikutarajia kukutana nao hta cku moja
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,539 Sep 21, 2012 #43 Mphamvu said: Duh? Nimekuwa mdananda tena, mie niko mjini tangu 93 maisha yalipomshinda mama Nelspruit, Mpumalanga, akahamia Dar kwa mumewe. Click to expand... Halafu unafanana na jamaa mmoja huwa nachati nae na hatujuani...........Anajiita au ni msauzi. Tena kasema alitoka Sauzi na kurudi Bongo yeye na mama yake.......what a coincidence
Mphamvu said: Duh? Nimekuwa mdananda tena, mie niko mjini tangu 93 maisha yalipomshinda mama Nelspruit, Mpumalanga, akahamia Dar kwa mumewe. Click to expand... Halafu unafanana na jamaa mmoja huwa nachati nae na hatujuani...........Anajiita au ni msauzi. Tena kasema alitoka Sauzi na kurudi Bongo yeye na mama yake.......what a coincidence
condorezaraisi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 225 Reaction score 116 Sep 21, 2012 #44 imenikutanisha na baba mkwe