JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Huna hoja...

Kilichopo ni kwamba huna taarifa, soma uzi wote na zilizotangulia zote zina taarifa unazohitaji...

Mkuu jibu hoja,
Bajeti,enterteinment gan ipo?
25k cyo lelemama
 
watu8....humu JF wengi hatufahamiani[wengine wanafahamiana,mimi simfahamu hata member mmoja humu] sasa kuna tofauti gani ya mimi kuja ESCAPE 1 where i'll meet total strangers na mimi kwenda sehemu nyingine za starehe where i'll meet total strangers as well???
 
Dr bado nitakuwa safarini siku hiyo......nategemea sana uwakilishi wako..............
 
Dr bado nitakuwa safarini siku hiyo......nategemea sana uwakilishi wako..............

Dr usitie shaka nitakuwakilisha vyema usipime...uko poa lakini?
 
Si kweli kwamba watu hawafahamiani, ukweli ni kwamba watu hawajuani...

Naamini unajua utofauti kati ya kufahamiana na kujuana...

A total stranger ni yule mtu usiyemfahamu wala kumjua...

A JF member ni yule mtu unayemfahamu lakini humjui...

Hivyo kuja kwenye party kama hii maana yake unakuja kumjua mtu unayemfahamu (of course kama atapenda kureveal identity yake)...
 
Habari zenu waratibu, mdhamini (sponsor) ana nafasi yeyote kwenye party yenu au hamtaki?
 
Kama una udhamini wowote labda udhamini watu kwa kujitangaza kuwa utawalipia watu kadhaa kama kwamtoro alivyofanya....

Mwisho wa siku hela hiyo utayowalipia hao watu walio tayari itatumika kwenye maandalizi kama michango mingine...

Habari zenu waratibu, mdhamini (sponsor) ana nafasi yeyote kwenye party yenu au hamtaki?
 
Last edited by a moderator:
Kama una udhamini wowote labda udhamini watu kwa kujitangaza kuwa utawalipia watu kadhaa kama kwamtoro alivyofanya....

Mwisho wa siku hela hiyo utayowalipia hao watu walio tayari itatumika kwenye maandalizi kama michango mingine...
Ahsante, japo fikra zangu zilikuwa kitu kikubwa kidogo zaidi ya hiyo entrance fees
 
It's just a get together gathering buddy...

Ahsante, japo fikra zangu zilikuwa kitu kikubwa kidogo zaidi ya hiyo entrance fees
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…