Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na wakaka mnahusika
Mdogo wng, soma kwanza, mapenzi yapo tu.
Maana kama hata hili nalo unahitaji ushauri, no dhahiri nado akili yako haijakomaa kiasi cha kuweza kuchanganya mapenzi ndani yake