JF nisaidieni kutafakari maneno haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF nisaidieni kutafakari maneno haya

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mkibunga, Jul 29, 2011.

 1. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HERI MBUNGE WANGU ANAYETOLEWA BUNGENI KWA KUTETEA MASLAHI YA TAIFA KULIKO WA KWAKO ANAYESINZIA BUNGENI KAMA wasira, samwel sitta , ANAYETAPIKA kama mrema na KUSUBIRI POSHO ZAO;  [​IMG] 24072011256.jpg  "JK NI CHAGUO LA MUNGU" Maana yake Mwenyezi Mungu kwa makusudi kabisa alimuacha JK achakachue apate kuwa rais ili aimalizie CCM kabisa na hatimaye Tanzania ipate Ukombozi. Ama kweli mwacheni Mungu aitwe Mungu. Kifo cha CCM 2015 ni mpango wa Mungu.

  NAOMBA KUWASILISHA
   
Loading...