kama wazazi wako hawataomba cheti chake cha kuzaliwa kama sehemu ya mahali, unayo nafasi ya kuwaa mbia kuwa amekuzidi umli ili walidhike, vinginevo una agenda ingine.Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya hat hiv nnavyosema. Mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini yeye anasoma sheria lazma wasome miaka 4 kabla ya school of Law
Wasisi wangu ni umri,, na tumepanga kuoana. Je wazazi watatuelewa kwa kigezo cha umri? Jamani nambieni