Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?
hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu
Nawai clinic jamani nitajibu maswali yenu kesho niombeeni
Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?
hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
ngoja ngoja huumiza matumbo
Kufukunyuliwa kabla y ndoa!!
Hongera sana ma jery! Hayo ni mambo mazuri. Umenitia moyo namimi nitatafuta humu humu time ikifika!
Duu! uzalendo uliwashinda na mkakosa subira kiasi cha kuasi makatazo ya Mungu kuwa msizini!! Lakini msisahau kuungama kwa kosa hilo, na akizaliwa mtoto mwiteni Malaria sugu!Nawai clinic jamani nitajibu maswali yenu kesho niombeeni
Sijui kama ombi lako limefanyiwa kazi, nasubiria maombi.Hongereni sana kwa ndoa tarajiwa na kwa ujauzito.Mkipata ka baby boy kaiteni Bishanga Abashaija,kakike mwombeni Aspirin akapatie jina.
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli
mmmh! since june 2011 kufikia leo almost miezi 3 na nusu!!! mmeshafikia kuoana!!!good lucky!!Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu
tena tunaona tumechelewa he is so special nilijua mtasema ila nimeona niwashirikishe furaha yangu maana nimempata humu humummmh! Since june 2011 kufikia leo almost miezi 3 na nusu!!! Mmeshafikia kuoana!!!good lucky!!
ndio ukuliona? Ila ni too late sasahongera! Uliweka tangazo pale love connect?