JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?
hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu

Maisha yenyewe mafupi haya, kwanini kujichelewesha? sashivi bado kila kitu ni cha moto ndo mahali pake hapo!
 
Ina maana miezi sita mshafanya maamuzi mazito hivi, au ndo love at the first site?
hongereni sana jf ni kisima cha kila kitu

miez 6 mbona inatosha kabisa! We umezoea kukaa miaka 4 halafu hajuna harusi,nakupongeza ma jery!
 
Hongera sana ma jery! Hayo ni mambo mazuri. Umenitia moyo namimi nitatafuta humu humu time ikifika!
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli
 
Hongera sana,hakuna aibu yoyote kila mtu anaishi maisha anayojisikia kuishi,Mungu awape masikizano na watoto wenye kheir nanyi.....
 
Nawai clinic jamani nitajibu maswali yenu kesho niombeeni
Duu! uzalendo uliwashinda na mkakosa subira kiasi cha kuasi makatazo ya Mungu kuwa msizini!! Lakini msisahau kuungama kwa kosa hilo, na akizaliwa mtoto mwiteni Malaria sugu!
 
Hongereni sana kwa ndoa tarajiwa na kwa ujauzito.Mkipata ka baby boy kaiteni Bishanga Abashaija,kakike mwombeni Aspirin akapatie jina.
Sijui kama ombi lako limefanyiwa kazi, nasubiria maombi.
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana

ni ushuhuda wa kweli

kama una kaujauzito tayari mmeshaoana hakuna haja ya kufunga ndoa nyingine. Yaani umefanya naye uasherati then mnafunga ndoa! Labda uniambie mnapasha kiporo.
 
Nimepata mwenza hapa jf tunafunga ni mwanaume wa aina yake ndoa tar 28/11/2011
niko na kaujauzito ka mwezi
nashukuru sana jf
nitawatumia kadi baadhi siku ikifika
karibuni sana
ni ushuhuda wa kweli

Hongera! Uliweka tangazo pale love connect?
 
mmmh! Since june 2011 kufikia leo almost miezi 3 na nusu!!! Mmeshafikia kuoana!!!good lucky!!
tena tunaona tumechelewa he is so special nilijua mtasema ila nimeona niwashirikishe furaha yangu maana nimempata humu humu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom