Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
Simulizi na watunzi,mana nmejitahid kutafuta bado sijaona,anaejua anifahamishe
Hahahahaha kwan apo naongelea bfInabidi upate boyfriend
Hahahahaha kwan apo naongelea bf
Nitag kama wajua,au nifahamisheUpweke unakufanya utafute hadithi sasa
Nitag kama wajua,au nifahamishe
Aha sawa,thnkxIngia kwny search halaf andika riwaya then search zitakuja
Aha sawa,thnkx
Tayar nshaziona thnk u for da supportNimejaribu kutag moja... m nt sure km umeiona