Wakuu salaam,
Naomba kujua ni wapi Morogoro naweza kupata chakula safi na chai ya jioni safi-gharama sio shida
Niko Morogoro na nitakuwa hapa kwa siku 7.
Ningefurahi kama ni sehemu karibu na mjini.
Natanguliza shukurani.
TMK

Mafuska utawajua tu! Nilidhani ni katibu wako wa chama pekeyake, kumbe hata wanachama!? Wakati katibu anatembea na wake za wanachama wake, nyie mnatuharibia wanafunzi wa vyuo!
mzee kaumba night klabu wanaenda walalaho manake kule jero,buku unangoa, mi nakushauri uende Oasis ama Hilux, hope utainjoi vibaya,na kama unatumia mdudu/ mnyama nenda sarvoy ipo ya kuchoma swaaaaaafi kabisa.