JF Mods naithamini kazi yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Mods naithamini kazi yenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 25, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwanza kabisa poleni na majukumu ya uendeshaji wa jamvi hili.
  Leo hii nimeshuhudia uwepo wa kitufe cha "Thanks" kwa mobile users.kwa niaba ya wengine nachukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza.inaonyesha ni jinsi gani mnajali bila kubagua.
  Na mimi natoa ahadi kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu mtaanza kuulamba mkono wangu.
  Nashukuru na kazi njema!

  JACK BAUER,
  CTU.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Daaaaaaah, umenikumbusha ngoja nianze kujichanga....
   
Loading...