TF usimlize! Ameahidi kunipeleka Nairobi. Ukimliza utaharibu kila kitu!...lol
Kama huko haupapendi basi tutaenda Coco Club on Fort Lane and Suede on Symonds Street au kama unapenda live music nitakupeleka Galatos on Galatos Streethahahahahahah lol
unavituko wewe dahhh
I am not number one but I'm the preferred one.
Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price
Ngoja niongee na jamaa wa Kikombaa kabisaTF usimlize! Ameahidi kunipeleka Nairobi. Ukimliza utaharibu kila kitu!...lol

Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price
Hiyo sehemu inaitwa KIKOMBAA inabidi ujikoki vizuri na majaketi ya baridi vinginevyo lazima urudi unaumwa

Nielekeze Nairobi sehemu gani nakwenda huko next week
Aisee umenikumbusha kuku wa kwa Edo msasaniMambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
Kinondoni Morocco kama unaelekea Kariakoo kabla haujafika viwanja vya Biafra mkono wako wa kushoto kuna frame ndio hao jamaa wako hapo wanaduka pia Mikocheni kwa Mwalimu karibia na petrol station ya BPSL na TF tuambieni Maduka basi na Mitaaa . . .
Mambo haya ukweli yanategemea sana na kipato,binafsi nashauri yafuatayo:
1. Shopping ya kum surprise mama kama unazo nenda cassandra pale mikocheni kwa Nyerere ,wana lingerie nzuri.
2. Kama kipato chako cha wastani outing na mama na watoto nenda kariakoo kwa muchacho wanapika kuku watamu ni hatari,nasikia siku hizi wamefungua branch Upanga mtaa wa mfaume.
3.Kuepuka vimada kama wewe mwislam sali mara 5 kwa siku na mfukoni tembea na msahafu,kama mkristo okoka, jiunge na kwaya kwa kwenda mbele na salini pamoja kabla ya kulala.
4.Gari/ unataka la bei chee? vizia minada ya TRA,magari bomba kibao huko.
5.Umeongelea mahali pa kupeleka 'viota'?you mean gesti? sijaelewa hapo.
......itaendelea,ngoja nizidi ku resechi......
Sasa twende The Paddington pale St George's Bay Road au lets head to Lime on Ponsonby, Club 4:20 on Karangahape

Ngoja niongee na jamaa wa Kikombaa kabisa
Hapa Superman inabidi tumtumie Gaga kama c/o wetu au unasemaje maana yeye kule Clarendon hawezi kukosa vitu vya maana lolHaaa haaa Mkuu, unanikumbusha mambo ya Hallords Londoni. Perfume Pounds 500
Saa Pounds hadi 30,000.
Ni Balaaa. Duka la macelebrity wa dunia.
Ila ukitaka vitu simple vya kuleta zawadi home, mambo yote Oxford Street . . . LOL
Dah!!! Aisee Dena umetisha nimekuaminia toy market pa ukweli sana kule kwa suti

Ukimaliza uende toy market sawa? Kuna jamaa wanashona suti si mchezo
Mimi huwa nna jamaa zangu huwa wanaenda huko ( kikombaa) then wanatuletea ofisini, huwa wanaleta kwa oda wanasambaza kwa waliowaagiza, sina hakika hasa maduka yao yako sehem gani, nitauliza afu ntakujulisha. Ni vitu vya ukweli sana.SL na TF tuambieni Maduka basi na Mitaaa . . .

Dah!!! Aisee Dena umetisha nimekuaminia toy market pa ukweli sana kule kwa suti